Car Hub Japan

More Links

Upatianaji wa gari za ubora wa juu
Gari zilizotumika za Japan katika
Bei bora kabisa

Pata bei za chini na upesi wa usafirishaji wa
gari unayotaka na msaada wa wateja 24/7.

Usafirishaji
Ukaguzi wa 100%
Gari zilizo nchini Tanzania

Tunahakikisha kuwa gari lako linatimiza
viwango vya EAA.

Kupeana
Upelekaji usio na
tashwishi yoyote

Kwa nchi yako

Kwa upesi tunawapelekea wateja wetu gari zenye
usalama wa juu Hadi nchi zao.

Tunahakikisha upelekaji
wa gari za hali ya juu
katika nchi Tanzania

Kupitia utaratibu mkali wa kuhakikisha ubora
Tunahakikisha kuwa unapata gari yenye ubora zaidi.

Maelezo ya uagizaji

Hatua 1 ya 2
Jina Kamili *
Barua Pepe *
Nambari ya Simu *

Mikataba ya ununuzi ya muda mfupi Tanzania

Gari zinazouzwa sana katika nchi Tanzania

Kwa nini wateja wanachagua Car Hub Japan katika nchi Tanzania?

Car Hub Japan ni jina linaloongoza na limeaminika sekta ya motokaa nchini Tanzania. Maarufu kwa kupatiana gari za ubora wa juu zilizokaguliwa vilivyo, Car Hub japan imerahisisha usindikaji wa ununuzi wa gari kwa wateja wake, huu mradi unawasaidia kuokoa wakati na pesa. Vipengele vingine vinavyotuweka kando na kampuni zingine zinazofadhili uuzaji na ununuzi wa magari katika nchi Tanzania ni kama vifuatavyo:

 • Usasishaji wa mara kwa mara wa mali

  Zaidi ya magari 140,000, yanaorodheshwa kila wiki ili wateja waweze kuchagua gari wanalolitamani kutoka Car Hub Japan.

 • Magari yaliyokaguliwa 100%

  Tunapatiana magari yaliyokaguliwa 100%, yamedhibitishwa na mashirika mbalimbali ya ukaguzi, ili gari linapokufikia liko tayari kuenda barabarani.

 • Bei ya chini zaidi

  Car Hub Japan inapatiana thibiti ya bei za chini zaidi kwa wateja wetu ili kuwasaidia kutangulia kuchagua Gari wanalo ndotoni kwa bei murua kabisa.

 • Cheti cha mnada kilichotafsiriwa

  Vyeti vya mnada vilivyotafsiriwa vinakurahisishia kuelewa hali unayotamani ya Motokaa na kuangalia vipengele vyake.

 • Upelekaji wa upesi & salama

  Kupitia shirika letu na kampuni bora zaidi za usafirishaji, Tunahakikisha kuwa gari lako Limefikishwa salama na kwa muda unaofaa.

 • Huduma kwa wateja 24/7

  Huduma yetu kwa wateja 24x7 inahakikisha kuwa maswali yote yaliyoulizwa na wateja wetu yamejibiwa Kwa haraka iwezekanavyo.

Mnada katika Car Hub Japan

Je? Unataka kununua gari unalolitamani na vipengele vilivyoundwa maalum hata kwa bei ya chini?

Nunua magari yaliyotumika kwa bei ya chini iwezekanvyo kutoka nyumba za juu za mnada Japan.

Jiandikishe kwa Mnada Sasa

Huduma za hali ya juu zinapatiwanwa na Car Hub Japan

Ukaguzi wa kifizika

Matengenezo yote ya mwili na uso wa gari kama vile kupiga paneli, kupiga rangi, kuchanganya rangi, matibabu ya uso wa gari Kunyunyizia rangi, kupiga rangi na mengineo.

Marekebisho ya motokaa

Kundi letu la wataalamu linahakikisha kuwa magari yamekaguliwa kutoka injini/ usafishaji wa chasisi hadi urekebishaji ili wateja wapate gari za hali ya juu.

Ushuhuda wa wateja 153 Maoni

Car Hub japan inawaangalia vizuri wateja wake. Huduma kwa wateja ni yenye pongezi. Walinisaidia kuchagua gari linalofaa la bei ya chini zaidi. Gari langu limenisafirisha kwa muda mrefu, Linaenda kwa mwendo nyororo na linakaa Vizuri mno.

Muhaimin Bahar
Tanzania

Toyota Vitz

Limewekwa katika: 7/29/2017

Wiki kadhaa zilizopitz, nilikuwa natafuta gari nzuri kwa umakini sana na kwa kupitia tovuti tofauti zinazojihusisha na uuzaji na ununuzi wa mitokaa, sasa ninaliendesha gari langu mpya. Hawa watu walijitoa kimhanga kumwacha mteja wao amekinai.

Rayyan Maimun
Tanzania

Toyota Mark-X

Limewekwa katika: 2/13/20177

Are you looking for the perfect car?

Talk to one of our Account Managers and get your Free Quote right away!